SUPPLEMENTARY NACTE/REPEAT MODULE/ INCOMPLETE-08/11/2019 - Tandabui Institute of Health Science & Technology
UNAWEZA LIPIA ADA MWEZI KWA MWEZI      

SUPPLEMENTARY NACTE/REPEAT MODULE/ INCOMPLETE-08/11/2019


TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE WENYE SHIDA MOJAWAPO ZILIZOTAJWA HAPO JUU

TANGAZO KWA WANAFUNZI WENYE SUPPLEMENTARY  ZA MTIHANI WA NACTE

WANAFUNZI WOTE WANAOTAKIWA KUFANYA MITIANI WA MARUDIO

 (NACTE SUPPLIMENTARY)

 WATATAKIWA KUWA DARASANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MITIHANI AMBAYO ITAANZA TAREHE. 13/01/2020

KILA MMOJA ANAPASWA KURIPOTI CHUONI KABLA YA TAREHE 15/11/2019

ATAKAE KOSA MAANDALIZI HAYA HATARUHUSIWA KUFANYA MITIHANI JANUARY.

KILA MWANAFUNZI ATALIPIA GHARAMA ZA MTIHANI HUO

AMBAYO NI Tsh. 200,000/=

NA ATAKAE TAKA KUKAA BWENI ATALIPIA GHARAMA ZA HOSTEL

AMBAZO NI Tsh. 200,000/=TU

FEDHA HIZO ZILIPWE KWENYE ACCOUNT YA CHUO

Namba:- 0150413616300 (CRDB)

Jina la  account ni TIHEST

TANGAZO-2

MWANAFUNZI YEYOTE AMBAYE HAKUKAMILISHA MITIHANI YA NDANI/ASSIGNMENTS MUHULA ULIOPITA

YAANI INCOMPLETE ANATAKIWA KURUDI DARASANI ILI KUKAMILISHA.

MASOMO YATAANZA TAREHE 18/11/2019, BILA MALIPO YEYOTE ISIPOKUWA KWA MWANAFUNZI WA BWENI ATALIPIA GHARAMA ZA HOSTEL TUU.

 

TANGAZO-3

WANAFUNZI WOOTE WA REPEAT MODULE WANATAKIWA DARASANI NA WENZAO KUANZIA MWANZO WA MUHULA HUU.

PIA WATAPASWA KUFANYA COMPONENT ZOTE KAMA MTAALA UNAVYOELEKEZA

Mwisho WA KURIPOTI NI TAREHE 15/112019

IMETOLEWA NA UTAWALA (08/11/2019)

UNAWEZA LIPIA ADA MWEZI KWA MWEZI